JINSI YA KU-HACK/KUDUKUA WI-FI PASSWORD KWA KUTUMIA SIMU JANJA(SMARTPHONE)

 

Habari…
Leo ningependa kuelekeza mbunu rahisi sana kama utakua makini, haiitaji uwe na computer ni simu yako tu ya mkononi(smartphone). Ni jinsi gani unaweza kupata wi-fi password ya sehemu yoyote kwa kutumia simu yako.
Fuatana nami hatua kwa hatua:-

1.    Download kwenye simu yako application hii Wi-Fi map kutoka play store.
2.    Washa wi-fi ya simu yako.
3.    Ifungue application (Wi-Fi map)
4.    Ukisha ifungua kwachini utaona majina ya wi-fi zilizokaribu nawe.
5.    Chagua wi-fi unayotaka kupata password zake.
6.    Kisha utabofya unlock password.
Mpaka kufikia hapo password zitakua zimesha funguka, pia unaweza ku-search wi-fi za eneo lolote sio lazima uwe karibu napo. Ili Kufanya hivyo:
·         Nenda kwenye alama ya search upande wa kulia juu kabisa.
·         Search eneo unalotaka, kisha utaona wi-fi zilizo on kwenye eneo hilo.
·         Baada ya hapo kama kawaida fuata maelekezo ya juu.

NB:

Muda mwengine app hii inatoa password zisizo sahihi kwahiyo itabidi ujaributena baadae itakupa password za kweli.

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post