JINSI YA KUONGEZA KASI YA KU-DOWNLOAD KWENYE IDM(internet download manager)

 


Matumaini yangu ni mzima wa afya…
Leo nina somo dogo tu na rahisi mno. Ni namna gani unaweza ukaongeza kasi ya ku-download kwenye IDM.. Kama huna software hii ya IDM basi ni vizuri ukaitafuta kwani inamsaada mkubwa kwenye masuala ya ku-download, nakama unayo naunaitaji kuongeza kasi ya ku-download kwenye IDM yako basi fuata hatua zifuatazo:-
1.    Fungua program ya IDM.
2.    Kisha bofya kwenye Options.
3.    Baada ya hapo utachagua connection.
4.    Kisha kwenye connection type speed chagua High speed: Direct connection (Ethernet/Cable) / Wi-Fi / Mobile 4G / other.
5.    Kisha kwenye defaelt max. conn. Number chagua 24.
6.    Kisha utabonyeza OK.
Kama kuna mahali hapajaeleweka tafadhali usisite kuuliza kwa ku-comment...

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post